Fasihi
Kutoka Wikipedia
fasihi nilugha iliyo jaa ufundi wa kimaandishi au kiutendajiFasihi ni sanaa inayotumia lugha ili kufikisha ujumbe kwa jamii husika . Fasihi imegawanyika katika makundi makubwa mawili: fasihi andishi na fasihi simulizi.
Makala hiyo kuhusu "Fasihi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Fasihi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Matini ya koze