New South Wales
Kutoka Wikipedia
New South Wales ni moja kati ya majimbo ya Australia. Pia ni moja kati ya majimbo makongwe katika Australia. Kati ya majimbo yote ya Australia, New South Wales ndiyo inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu. Mji mkuu wa New South Wales ni Sydney. Sydney ni mji mkubwa kabisa katika Australia.
Mji wa Sidney ulianzishwa mnamo mwaka 1788 kama kituo cha wafungwa kutoka Uingereza waliopelekwa hapa badala ya magereza ya nyumbani.
Wakazi wa New South Wales wanaitwa Wawelsh au Welshman (Kiing.
Jina la jimbo limetokana na mpelelezi Mwingereza James Cook aliyekuwa Mzungu wa kwanza wa kupitia pwani hili na na kulitolea jina la "New South Wales" kwa heshima ya Welisi ambayo ni nchi jirani ya Uingereza ndano ya Ufalme wa Muungano kwenye kisiwa cha Britania.
[hariri] Jiografia
[hariri] Viungo vya nje
- Australia - Map of South East Australia from Geoscience Australia
- NSW Official State Website
- NSW Parliament
- NSW Police
- NSW State Law
- NSW State Library - History of Our Nation
- NSW Weather and Sydney Weather
- NSW Directory - from the Open Directory Project