Ibadan
Kutoka Wikipedia
Ibadan ni mji mkubwa wa tatu wa Nigeria mwenye wakazi 3,800,000 (kadirio 2007) na wengi wao ni Wayoruba. Ni mji mkuu wa jimbo la Oyo.
Iko katika Nigeria ya kusini-magharibi takriban kilometa 125 kutoka Lagos. Kihistoria ilikuwa kitovu cha Nigeria yote ya magharibi ikiwa makao makuu ya jimbo la magharibi baada ya uhuru wa nchi.
Mji ulianzishwa mwaka 1829 kama makao makuu ya wafalme wa Wayoruba.
[hariri] Watu wa Ibadan
- Mwimbaji Sade ambaya sasa amekuwa Mwingereza alizaliwa hapa tar. 16 Januari 1959).