Antili Ndogo
Kutoka Wikipedia
Antili Ndogo ni kikundi cha visiwa vidogo katika Atlantiki mbele ya pwani la Amerika ya Kati. Ni sehemu ya kusini Visiwa vya Karibi. Antili ndogo ina umbo la pinde kati ya pwani la Venezuela na kisiwa kikubwa cha Puerto Rico.
[hariri] Jiolojia
Pinde hufuata mstari wa mpaka wa bamba la Karibi. Visiwa vyote ni ya asili ya kivolkeno. Volkeno hai na mitetemeko ya ardhi ni kawaida.
[hariri] Orodha ya visiwa
- Visiwa vya Virgin vya Marekani: St. Thomas, St. John, St. Croix
- Visiwa vya Virgin vya Uingereza: Tortola, Virgin Gorda, Anegada, Jost Van Dyke
- Anguilla (Kiing.)
- Saint Martin (chini ya Ufaransa pamoja na Antili za Kiholanzi).
- Saint-Barthélemy (Kifar.)
- Saba (Kihol.)
- Sint Eustatius (Kihol.)
- Saint Kitts
- Nevis
- Barbuda
- Antigua
- Redonda
- Montserrat (Kiing.)
- Guadeloupe (Kifar.)
- La Désirade (Kifar.)
- Les Saintes (Kifar.)
- Marie-Galante (Kifar.)
- Dominica
- Martinique (Kifar.)
- Saint Lucia
- Barbados
- Saint Vincent
- Grenadines
- Grenada
- Trinidad and Tobago
Visiwa karibu na pwani la Venezuela:
- Aruba (Kihol.)
- Curaçao (Kihol.)
- Bonaire (Kihol.)
- Fungukisiwa cha Venezuela